UFAFANUZI KUHUSU MATUMIZI YA VIKOKOTOZI WAKATI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI KUANZIA MWAKA 2026

calendar_monthSeptember 10, 2026

UFAFANUZI KUHUSU MATUMIZI YA VIKOKOTOZI (CALCULATORS) WAKATI WA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI KUANZIA MWAKA 2026

Uongozi wa Baraza la Mitihani la Zanzibar unapenda kuutaarifu Umma ya kwamba matumizi ya vikokotozi (calculators) ambavyo havina programu maalumu (Non programmable Calculators) yanaweza kuruhusiwa wakati wa Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili wa mwaka 2026 kwa masomo yafuatayo:-

1.      Bookkeeping

2.      Business Studies

3.      Carpentry and Joinery with Metal Works 

4.      Chemistry

5.      Civil Draughting

6.      Electrical Installation

7.     Electronics Repair

8.     Engineering Science

9.     Geography

10.      Masonry and Brick Laying

11.       Mathematics

12.       Physics

13.      Technical Drawing

14.      Welding and Metal Fabrication

 

Imetolewa na:
KITENGO CHA HABARI NA UHUSIANO
BARAZA LA MITIHANI LA ZANZIBAR

Attachments
north